VIDEO: Mtoto wa miaka 12 amshangaza sheikh kishki

0
13Msichana wa miaka 12 aliyehifadhi Qur-aan tukufu juzuu 30 kwa mara ya kwanza ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Afrika yaliyoandaliwa na taasisi ya Al-Hikma Faundation yatakayofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Mei 19 ambapo mgeni rasmi atakua ni Rais Magufuli.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USISAHAU KUSUBSCRIBESource link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here