Home Blog Page 3

Wachezaji wa Simba Wakishangilia Ubingwa.. Utabiri wa Mchungaji Mashimo Washindwa

Tayari Simba SC wamenyakua Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 baada ya kuichapa Singida United mabao 2-0 kwenye uwanja wa Namfua Singida. Kwenye ushindi huo magoli ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere dakika ya 10, na John Bocco 60. Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha pointi 91 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye ligi msimu huu,...

Pierre Liquidi amkabidhi DC Jokate madawati

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo leo amepokea madawati 20 yenye thamani ya zaidi ya Tsh. 100,000 moja kutoka kwa Pierre Liquidi. Madawati hayo ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa Machi 30, 2019 ya kutoa TZS laki moja kwa lengo la kutokomeza Zero Kisarawe. "Leo nimepokea madawati 20 yenye viwango vya juu kutoka kwa Pierre Liquidi chini ya kampuni...

WAZIRI MKUU AONGOZA MAZISHI YA ASKOFU MMOLE MTWARA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wote wamuenzi marehemu Askofu Mstaafu Gaberiel Mmole (80) wa Jimbo Katoliki Mtwara kwa wema, upole  na utumishi mwema aliouonesha wakati wote wa maisha yake. Ametoa wito huo leo wakati wa mazishi ya Askofu Mmole yaliyofanyika katika Kanisa Katoliki Mtwara na kuhudhuriwa na viongozi, waumini wa Kanisa Katoliki pamoja na wakazi wa...

RAIS DKT MAGUFULI ALIFANYA MAAMUZI MAZURI YA KUTOA VITAMBULISHO KWA WAJASIRIAMALI -DIWANI NGUVU

DIWANI  wa  kata ya  Mwangata  katika Manispaa ya  Iringa Edward  Nguvu  Chengula (CCM)  amesema hatua   iliyochukuliwa na Rais Dkt  John Magufuli  ya  utoaji wa vitambulisho  vya wajasiriamali   ni nzuri imelenga  kuwakomboa  wananchi wa kata  yake na  watanzania waliokuwa  wakinyanyasika na  mgambo  wasio  waadilifu . Akizungumza na mwandishi wa habari hizi  juu ya   mapokeo ya wananchi wa kata ...

Mnyama Simba SC atwaa ubingwa TPL, Kagere na John Bocco wapeleka kilio Singida United

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC imefanikiwa kunyakua kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 baada ya kuichapa Singida United goli 2-0 ugenini kwenye uwanja wa Namfua, Singida. Simba wamefanikiwa kutetea ubingwa wao kupitia magoli ya Meddie Kagere dakika ya 10 na John Bocco dakika ya 60. Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha alama 91 ambazo...

Breaking News: Simba Rasmi Bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara

USHINDI walioupata Simba leo mbele ya Sindida United kwa kuifunga mabao 2-0 uwanja wa Namfua umetosha kutetea ubingwa wao walioutwaa msimu uliopita.Mabao mawili  ya Simba yaliyopachikwa na Meddie Kagere dakika ya 9 na John Bocco dakika ya 60 yametosha kuwapa ubingwa. Simba imecheza jumla ya michezo 36 na imefikisha pointi 91 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye ligi...

BREAKING NEWS: SIMBA MABINGWA LIGI KUU TANZANIA BARA 2018/19

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamenyakua Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 baada ya kuichapa Singida United mabao 2-0 kwenye uwanja wa Namfua Singida. Kwenye ushindi huo magoli ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere dakika ya 10, na John Bocco 60. Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha pointi 91 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye...

Baby Wangu Majizo Sio Tajiri..Ndoa yetu Itakuwa Ndogo

Msanii wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amesema kuwa yeye na Mchumba wake, Majizo ni watu wa kawaida hivyo watafunga ndoa ya kawaida.Lulu amesema kuwa kutakuwa na watu wa upande wa kike na wa kiume na baadhi ya marafiki zao.“Mimi na mwenza wangu Majizzo bado hatujaoana. Sisi tabia zetu zinaendana ni watu wa kawaida hivyo tutafunga ndoa kawaida...

SIMBA SC WAIPIGA SINGIDA UNITED 2-0 NA KUTWAA TENA UBINGWA WA LIGI KUU YA BARA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAMSIMBA SC wamefanikiwa kutetea taji lao ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Singida United jioni ya leo Uwanja wa Namfua.Simba SC inayofundishwa na kocha Mbelgiji, Patrick Aussems imefikisha pointi 91 baada ya ushindi wa leo katika mchezo wa 36 ikijihakikishia ubingwa wa Ligi...

TAASISI YA TULIA TRUST YAUNGA MKONO UJENZI WA ZAHANATI KIJIJI CHA ISYONJE.

Na Prakseda Mbulu,MBEYA. Jumla ya bati hamsini(50) zimetolewa na taasisi ya Tulia Trust katika kijiji cha Isyonje kata ya Isongole wilayani Rungwe,ili zisaidie katika kuezeka jengo la zahanati kijijini hapo. Akikabidhi bati hizo,meneja wa taasisi ya Tulia Trust,Bi Jackline Boazi,amesema wameguswa na kuona hatua zilizochukuliwa na wananchi pamoja na viongozi katika kijiji hicho ya kuanza ujenzi wa zahanati...

HABARI ZA LEO

Tanzanian Today's Newspapers MAGAZETI YA LEO Wednesday 22nd May, 2019

AJIRALEO TANZANIATanzanian Today's Newspapers MAGAZETI YA LEO Wednesday 22nd May, 2019CHECK NEW JOBS TANZANIA 2019: NAFASI MPYA ZA KAZI LEO  BONYEZA HAPA. CLICK...

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 22.05.2019: Cech, De Gea, Pogba, Zaha, Gomes

Kipa wa Arsenal Petr Cech, atarejea Chelsea msimu huu wa joto kuchukua wadhifa wa mkurugenzi wa michezo Source link